Saturday, August 24

MESSI AKIWA HAAMINI MACHO YAKE USIKU WA JANA BENITO VILLAMARIN

0


MESSI AKIWA HAAMINI MACHO YAKE USIKU WA JANA BENITO VILLAMARIN – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMESSI AKIWA HAAMINI MACHO YAKE USIKU WA JANA BENITO VILLAMARIN – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akisikitika baada ya kufungwa bao la pili na Valencia katika fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Valencia walishinda 2-1, mabao yao yakifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 21 na Rodrigo dakika ya 33 kabla ya Messi kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 73 
Share.

About Author

Leave A Reply