Saturday, August 24

MESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI

0


MESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 31 na 32 katika sare ta 2-2 na Eibar kwenye mchezo wa mwisho wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar, hivyo kufikisha mabao 50 msimu huu kwa mara sita, klabu yake ikiibuka bingwa kwa mara nyingine tena 
Share.

About Author

Leave A Reply