Monday, August 26

MBAPPE ANAYETAKIWA REAL MADRID ABEBA TUZO MBILI LIGUE 1 UFARANSA

0


MBAPPE ANAYETAKIWA REAL MADRID ABEBA TUZO MBILI LIGUE 1 UFARANSA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMBAPPE ANAYETAKIWA REAL MADRID ABEBA TUZO MBILI LIGUE 1 UFARANSA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Mshambuliaji wa Paris Saint Germain, Kylian Mbappe anayetakiwa na Real Madrid akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligue 1 aliyoshinda pamoja na ya Mchezaji Bora Chipukizi baada ya kukabidhiwa jana mjini Paris, Ufaransa 
Share.

About Author

Leave A Reply