Monday, June 17

MAREKANI YAITANDIKA THAILAND 13-0 KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE UFARANSA

0


MAREKANI YAITANDIKA THAILAND 13-0 KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE UFARANSA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMAREKANI YAITANDIKA THAILAND 13-0 KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE UFARANSA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Mfungaji wa mabao matano ya Marekani, Alex Morgan (kushoto) katika ushindi wa 13-0 akimfariji mchezaji wa Thailand, Miranda Nild (kulia) baada ya kipigo hicho kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi F Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake Uwanja wa Auguste-Delaune II mjini Reims, Ufaransa Jumanne. Mabao mengine ya USA yalifungwa na Samantha Mewis na Rose Lavelle mawili kila mmoja, Lindsey Horan, Megan Rapinoe, Mallory Pugh na Carli Lloyd 
Share.

About Author

Leave A Reply