Saturday, August 24

MAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER

0


MAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

MAREHEMU Ali Ferej Tamin (Kushoto) na aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Ali Juma Shamuhuna, walipotembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) jijini Zurich, Uswisi miaka kadhaa iliyopita wakiwa na Rais wa zamani wa shirikisho hilo Josep Blatter. Walikuwa wamepeleka ombi la kutaka Zanzibar ipewe uanachama wa FIFA ambalo lilikataliwa kwa madai kuwa visiwa hivyo havina mamlaka kamili.
Share.

About Author

Leave A Reply