Sunday, August 18

MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD

0


MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Bernardo Silva akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 54 kabla ya Leroy Sane kufunga la pili dakika ya 66 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Man City inafikisha pointi 89 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 35 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England, wakati Manchestr United inarudi kileleni, wakati Man United inabaki na pointi zake 64 za mechi 34 katika nafasi ya sita 
Share.

About Author

Leave A Reply