Wednesday, August 21

MAN CITY YAIPIGA WATFORD 6-0 NA KUBEBA TAJI LA TATU ENGLAND

0


MAN CITY YAIPIGA WATFORD 6-0 NA KUBEBA TAJI LA TATU ENGLAND – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMAN CITY YAIPIGA WATFORD 6-0 NA KUBEBA TAJI LA TATU ENGLAND – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa ameinua Kombe la FA baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Watford leo mabao ya Raheem Sterling matatu dakika za 38, 81 na 87, David Silva dakika ya 26, Kevin De Bruyne dakika ya 61 na Gabriel Jesus dakika ya 68 kwenye mchezo wa fainali Uwanja wa Wembley mjini London hilo likiwa taji la tatu msimu huu baada ya ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la Ligi 
Share.

About Author

Leave A Reply