Saturday, August 17

KEITA, MANE NA SALAH WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA 5-0 HUDDERSFIELD

0


KEITA, MANE NA SALAH WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA 5-0 HUDDERSFIELD – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEKEITA, MANE NA SALAH WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA 5-0 HUDDERSFIELD – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Wafungaji wa mabao ya Liverpool katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana, kiungo wa kimataifa wa Guinea, Naby Deco Keita (katikati) na washambuliaji wa kimataifa, Mohamed Salah wa Misri na Sadio Mane wakipongezana kwa kazi nzuri usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Anfield. Keita alifunga la kwanza dakika ya kwanza, Mane mawili dakika za 23 na 66 kama Mo Salah dakika za 45 na ushei na 83 na kwa ushindi huo Liverpool inafikisha pointi 91 baada ya kucheza mecbhi 36 na kurejea kileleni, ikiizidi Manchester City pointi mbili ingawa ina mchezo mmoja mkononi 
Share.

About Author

Leave A Reply