Sunday, August 25

DE GEA ‘AFUNGISHA’ KUIPA SARE CHELSEA 1-1 NA MAN UNITED

0


DE GEA ‘AFUNGISHA’ KUIPA SARE CHELSEA 1-1 NA MAN UNITED – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEDE GEA ‘AFUNGISHA’ KUIPA SARE CHELSEA 1-1 NA MAN UNITED – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Marcos Alonso akitumia makosa ya kipa David De Gea kuipatia bao la kusawazisha Chelsea dakika ya 43 kufuatia Juan Mata kuanza kuifungia Manchester United dakika ya 11 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Kwa sare hiyo Chelsea inafikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 36 na kuendelea kukamata nafasi ya nne, wakati Man United inayofikisha pointi 65 katika mchezo wa 36 pia inabaki nafasi ya sita 
Share.

About Author

Leave A Reply