Sunday, August 18

CRAWFORD AMTANDIKA AMIR KHAN KWA TKO RAUNDI YA SITA MAREKANI

0


CRAWFORD AMTANDIKA AMIR KHAN KWA TKO RAUNDI YA SITA MAREKANI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINECRAWFORD AMTANDIKA AMIR KHAN KWA TKO RAUNDI YA SITA MAREKANI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Bondia Amir Khan akiwa chini baada ya kuangushwa na mpinzani wake, Terence Crawford raundi ya kwanza kwenye pambano la uzito wa Welter asubuhi ya leo ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani. Khan aliinuka na kuendelea na pambano kabla ya kujiuzulu raundi ya sita akidai kupigwa chini ya mkanda, hivyo Crawford kuondoka na taji lake la WBO kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) akiendeleza rekodi ya kutopoteza pambano 
  
Share.

About Author

Leave A Reply