Friday, August 23

BENZEMA APIGA HAT TRICK REAL MADRID YAICHAPA BILBAO 3-0

0


BENZEMA APIGA HAT TRICK REAL MADRID YAICHAPA BILBAO 3-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEBENZEMA APIGA HAT TRICK REAL MADRID YAICHAPA BILBAO 3-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao yote matatu Real Madrid dakika za 47, 76 na 90 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Baada ya ushindi huo katika mchezo wa 33, Real Madrid inafikisha pointi 64 ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi nne na mahasimu wao wa jiji, Atlético Madrid ambao kwa pamoja wapo nyuma ya vinara, Barcelona wenye pointi 77 za mechi 33 pia 
Share.

About Author

Leave A Reply