Saturday, August 24

BAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIGA 3-0 LEIPZIG

0


BAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIGA 3-0 LEIPZIG – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEBAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIGA 3-0 LEIPZIG – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Nahodha Manuel Neuer akiwa ameinua Kombe la Ujerumani na wachezaji wenzake wa Bayern Munich baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya RB Leipzig, mabao ya Robert Lewandowski dakika ya 29 na 85 na Kingsley Coman dakika ya 78 katika mchezo wa fainali usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin 
Share.

About Author

Leave A Reply