Monday, August 26

ALLY MOPELO, GODFREY KUKIMBIZI NA DOYI MOKE MAJIMAJI 1998

0


ALLY MOPELO, GODFREY KUKIMBIZI NA DOYI MOKE MAJIMAJI 1998 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEALLY MOPELO, GODFREY KUKIMBIZI NA DOYI MOKE MAJIMAJI 1998 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Wachezaji wa Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma walioisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 1998 kutoka kulia ni mshambuliaji Godfrey Kikumbizi, kipa Doyi Moke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kiungo Ally Mopelo kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1998
Share.

About Author

Leave A Reply