Sunday, August 18

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI UTEKELEZAJI MAAZIMIO YA BARAZA LA BIASHARA

0


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Mawaziri cha Kupokea  Taarifa ya  Utekelezaji  wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati  alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri cha  Kupitia Utekelezaji  wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018Read More

Share.

About Author

Comments are closed.