Monday, August 26

PICHA; VODACOM YAENDESHA USAJILI WA LAINI KWA MFUMO WA ALAMA ZA VIDOLE CHUO KIKUU DODOMA

0


Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Michael Mhando na Emmanuel Medukenya wakisajili wanafunzi kwa kutumia mfumo mpya wa alama za vidole katika viwanja vya chuo kikuu cha Dodoma, jijini humo. Hivi karibuni kampuni hiyo imewezesha wafanyakazi wake na vifaa vya kusajilia kwa kutumia alama za vidole ili kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa wateja wake popote nchini.
Share.

About Author

Leave A Reply