Friday, July 19

Vodacom watunukiwa tuzo ya NEEC

0


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Kassim Majaliwa (Kulia) akampongeza na kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Bi Rosalynn Mworia (kushoto) kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kuinua wananchi kiuchumi wakati wa semina ya uwezeshaji wananchi kiuchumi uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.Share.

About Author

Leave A Reply