Wednesday, August 21

PICHA;Anthony Joshua na Joseph Parker wakutana uso kwa uso kabla ya pambano lao Jumamosi hii

0


Mabondia wa uzito wa juu duniania, Anthony Joshua na Joseph Parker hii leo wamekutana mbele ya waandishi wa habari kuelekea mpambano wao nchini Uingereza.
Joshua na Parker wanatarajia kuingia ulingoni Machi 31 mwaka 2018 siku ya Jumamosi ya wiki hii huko Cardiff .
Picha ambazo zikionyesha kilichoendelea katika mkutano wa mabondia hao hii leo
 

JRead More

Share.

About Author

Comments are closed.