Friday, April 19

Picha: Watu watano wafariki kwenye ajali ya ndege Kenya

0


Picha: Watu watano wafariki kwenye ajali ya ndege Kenya – MWANAHARAKATI MZALENDO ™

New

Watu wote watano waliokuwamo ndani ya ndege ndogo aina ya Cessna 206-5Y BSE wamefariki dunia nchini Kenya. Ni baada ya ndege hiyo kuanguka katika Mji wa Londiani, Kenya saa 5 asubuhi leo. Ndege hiyo inayomilikiwa na Safari Link ilikuwa ikisafirisha abiria kutoka Ol Kiombo na kuwapeleka Lodwar.

Share.

About Author

Leave A Reply