Sunday, August 18

Hii ndio ratiba ya mechi za EPL wikiendi hii

0


Baada ya ligi mbali mbali duniani kupumzika kwa takribani wiki kwa kupisha mechi za timu za taifa, wikiendi hii ligi hizo zinarudi tena kwa kurudisha furaha kwa mashabiki wake wakiwemo wanaofuatilia ligi maarufu duniani ya Uingereza.
Hapa chini ni ratiba ya mechi za ligi hiyo wikiendi hii.
Jumamosi
Crystal Palace vs Liverpool
Brighton vs Leicester City
Manchester United vs Swansea
Newcastle United vs Huddersfield Town
Watford vs Bournemouth
West Bromwich Albion vs Burnley
West Ham United vs Southampton
Everton vs Manchester City
Jumapili
Arsenal vs Stoke City
Chelsea vs Tottenham HotspurRead More

Share.

About Author

Comments are closed.