Thursday, August 22

Binti wa miaka 7 kutoka Afrika apata shavu Hollywood

0


Fani ya uchekeshaji katika mitandao imekuwa ikishika kasi kila kukicha huku wengi wao wakitumia nafasi ya mitandao kuuza kazi zao. Kijana wa miaka saba kutoka Nigeria, Emanuella Ella Angel amefanikiwa kupata dili la kuigiza na kufanya kazi na kampuni kubwa dunia ya utengenezaji filamu ya Disney Studios.
Binti huyo Emanuella ameshafanya kazi vyingi za uchekeshaji ikiwemo ya “My Real Face” ambayo ilimfanya apata tuzo ya G Influence Niger Delta Special Talent Award mwaka 2015, ametumia ukursa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kujuza mashabuki zake na umma kuhusu dili hilo pia kuwashukuru kwa ushirikiano wao kwake.
“Thanks @disneystudios God bless everyone whose support has added to bringing us here. I never dreamed of being here so soon. I miss Success. I love you all, ameandika Emanuela.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.