Saturday, August 17

Pacha wa Ronaldo akimbizwa Hospitali

0


Cristiano Ronaldo amekuwa katika kipindi kifupi cha hofu baada ya mmoja wa watoto wake mapacha kukimbizwa hospitali. 

Mateo mwenye umri wa miezi nane alipelekwa hospitali na kuwekwa katika uangalizi maalum kutokana na kuugua ghafla. 

Lakini taarifa za baadaye zikaeleza kwamba Mateo alikuwa akiendelea vizuri na Ronaldo na mpenzi wake Georgina Rodriguez wakawa tena na amani. 

Mshambuliaji huyo nyota wa Madrid, amekuwa akitumia muda wake mwingi kucheza na waoto wake hao.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.