Wednesday, August 21

Serikali imetoa mwongozo kwamba mwanafunzi anaeingia kidato cha tano asizidi miaka 25

0


 Dkt. Avemaria

Leo March 23,2018 wizara ya elimu sayansi na teknolojia imetoa taarifa kwa umma  juu ya vigezo vya mwanafunzi anaefaa kujiunga na masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2018.

Miongoni mwa vigezo vilivyotajwa kwenye taarifa hiyo  ni mwanafunai anaejiunga na kidato cha tano asizidi umri wa miaka 25.

Taarifa ambayo ilitolewa awali ilionesha miaka 20 lakini baadae Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria alieleza kwamba kulikuwa na mokosa ya kiuandishi badala ya 25 iliandikwa 20 hivyo ikatolewa taarifa nyingine iliyoonesha miaka 25 ambayo ni huu hapo chiniRead More

Share.

About Author

Comments are closed.