Saturday, August 17

MECHI YA YANGA NA MTIBWA ILIYOPANGWA IFANYIKE TAREHE 03/03/2018 IMEAHIRISHWA

0


 

Afisa mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi ya TFF, Boniface Wambura leo Februari 27,2018 ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia mabadiliko mbalimbali ya mechi za Ligi Kuu yaliyotangazwa leo, ikiwemo kufuta ratiba ya mchezo wa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kufanyika tarehe 03/03/2017.
Wambura amesema mchezo huo umeahirishwa,utapangiwa siku nyingine hapo baadae.
pia mabura ameeleza kwamba ujumla ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 imefanyiwa mabadiliko kwa baadhi ya michezo, hiyo inatokana na ushiriki wa Simba na Yanga kwenye michuano ya kimataifaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.