Wednesday, August 21

Maneno ya Jokate Mwegelo yaliowaacha mashabiki dilemma

0


Leo March 20,2018 mastaa wengi duniani wanasherekea siku zao za kuzaliwa akiwemo mwanamitindo maarufu nchini Jokate Mwegelo ambaye kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka wazi maneno ambayo yamewaacha wengi na maswali.
Ukiachilia mbali post ambayo Jokate ameipost kupitia account yake ya instagram kuhusu siku yake ya kuzaliwa ameacha maswali mengi kwa mashabiki baada ya kupost picha nyingine na kuandika caption ambayo inaeleza wazi kuwa atakuwa mama hivi karibuni na anatarajia kuolewa.
Jokate ameandika >>>“Mtoto wa March , malkia wa March, hivi karibuni nitakuwa mke wa mtu na mama pia, Mungu ni mwema na mwaminifu, nimekuwa ila daima nitabaki kuwa binti mdogo. Ni kwa Neema tu na Rehema


Kutokana na Jokate kuandika caption hiyo je tutarajie kumuona akiolewa ndani ya mwaka 2018?  je Jokate ana ujauzito? Kuyapata majibu ya Jokate endelea kukaa karibu na Ayo TV na millardayo.comRead More

Share.

About Author

Comments are closed.