Monday, August 19

Kamusoko, Tambwe na Niyonzima wafanya mazoezi pamoja

0


Wachezaji wa Yanga, Thaban Kamusoko na Amis Tambwe pamoja na Haruna Niyonzima wa Simba, wamekutana katika ‘Gym’ kufanya mazoezi pamoja.

Wachezaji hao wote hawajawa na msimu mzuri katika Ligi Kuu Bara kufuatia kuwa majeruhi, kitu ambacho kilipelekea wakosekano kwa muda mrefu viwanjani kuzitumikia timu zao.

Kitendo cha wachezaji kufanya mazoezi pamoja kimeonesha dhahiri shahiri mpira si uadui, tofauti na wengi wasiokuwa na uelewa ndani ya timu hizi mbili Kongwe za Simba na Yanga.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.