Saturday, August 17

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA, KUWAIT

0


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini, Dan Kazungu, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini, Dan Kazungu, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini, Mubarak Alsehaijan, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mubarak Alsehaijan, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share.

About Author

Leave A Reply