Tuesday, August 20

WAZIRI DKT. MWIGULU AZINDUA GEREZA JIPYA CHATO

0


Mkuu wa Mkoa wa Geita(Kushoto)Mhandisi Robert Luhumbi na waziri wa mambo ya ndani(Kulia)Dkt,Mwigulu Nchemba (Katikati)Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa wakikata upete kwenye jiwa la Msingi wakati wa uzinduzi wa magereza Wilaya ya Chato.
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akimpokea na kumsalimia waziri wa mambo ya ndani,Dkt Mwigulu Nchemba wakati alipowasili kwenye viwanja vya magereza wilaya ya Chato.
Mkuu wa wilaya ya Chato, Shaaban Ntarambe akielezea manufaa ambayo yatapatikana kwenye wilaya hiyo kutokana na kufunguliwa kwa magereza.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amelitaka jeshi la magereza kupitia gereza la Wilaya ya Chato ambalo limejengwa kijiji cha Nyangomango kutumia maeneo yaliyopo na watakayopewa na Mkoa kuzalisha mazao mbalimbali ya kilimo na mifugo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akielezea madhumuni na dira ya magereza katika kutoa huduma kwa waharifu.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt.Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi na baadhi ya askari ambao walikuwepo kwenye shughuli ya uzinduzi wa Gereza jipya wilaya ya Chato.
Baadhi ya wakuu wa magereza pamoja na wananchi wakimsikiliza mgeni Rasimi ambaye ni Waziri wa mambo ya ndani,Dkt Mwigulu Nchemba alipokuwa akizungumza.
Mkuu wa mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi na Waziri wa mambo ya ndani,Dkt Mwigulu Nchemba wakiteta jambo wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa gereza la wilaya ya Chato.
Waziri wa mambo ya ndani,Dkt Mwigulu Nchemba akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel wakitoka kuweka jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa gereza la wilaya ya Chato
Maafisa wa Jeshi la magereza wakiwa kwenye picha ya pamoja na waziri wa mambo ya ndani ,Dkt Mwigulu Nchemba pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Geita.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.