Wednesday, August 21

TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

0


Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC Ndugu Elishilia Kaaya anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bibi ELIATIRISHA TEVELI SUMARI kilichotokea katika Hospitali ya AICC jijini Arusha leo.

Mipango ya Mazishi inaendelea nyumbani kwa marehemu kijijini Nguruma, wilayani Arumeru.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.

MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI – AMENRead More

Share.

About Author

Comments are closed.