Thursday, February 21

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA TIMU YA WATAALAMU WA MATIBABU YA MOYO IKULU -DAR

0


Rais Dkt John Pombe Magufuli akutana na Timu ya Madaktari wa Moyo kutoka Israel na Marekani wakiongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Dkt Faustine Ndungulile pamoja na baadhi ya Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka nchini Tanzania. Hafla imefanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Novemba 8, 2018

Share.

About Author

Leave A Reply