Tuesday, July 23

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA

0


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha taarifa inavyoonyesha hali halisi ilivyo sasa katika masuala yanayohusu uzazi salama wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma. 

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

Sehemu ya Wageni kutoka Taasisi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri (kushoto) mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Binilith Mahenge (kushoto) mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Share.

About Author

Leave A Reply