Friday, July 19

DAWASA YAJINADI VYEMA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA VIWANDA PWANI

0


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya DAWASA kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Eng. Cyprian Luhemeja. Kabla ya kufunga rasmi maonesho ya Wiki ya Viwanda katika Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa Pwani, Mhe Waziri Mkuu alipata fursa ya kutembelea mabanda ya maonyesho ikiwemo la DAWASA.

Share.

About Author

Leave A Reply