Saturday, August 24

BALOZI SEIF AKUTANA NA MAKAMANDA WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA KUTOKA NCHINI INDIA

0

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Makamanda wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi na Usalama Kutoka Nchini India hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Baadhi ya Makamanda wa Vikosi vya India na wale wenyeji wao wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania { JWTZ} wakifuatilia maelezo ya Balozi Seif hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akipokea zawadi maalum kutoka kwa Makamanda wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi na Usalama Kutoka Nchini India.

Baadhi ya Makamanda wa Vikosi vya India na wale wenyeji wao wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania { JWTZ} wakifuatilia maelezo ya Balozi Seif hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao.

Baadhi ya Makamanda wa Vikosi vya India na wale wenyeji wao wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania { JWTZ} wakifuatilia maelezo ya Balozi Seif hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao.

Baadhi ya Makamanda wa Vikosi vya India na wale wenyeji wao wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania { JWTZ} wakifuatilia maelezo ya Balozi Seif hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao.

Makamanda wa Vikosi vya India na wale wenyeji wao wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania { JWTZ} wakifuatilia maelezo ya Balozi Seif wakati wa mazungumzo yao.

Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kutoka Nchini India mara baada ya kufanya mazungumzo nao Ofisini kwake Vuga.

Balozi Seif akiagana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kutoka Nchini India mara baada ya kufanya mazungumzo nao Ofisini kwake Vuga.

Balozi Seif akiagana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kutoka Nchini India mara baada ya kufanya mazungumzo nao Ofisini kwake Vuga. Picha na OMPR – ZNZ.

Share.

About Author

Leave A Reply