Monday, June 24

NJIA BORA ZA KUPIGA MSWAKI

0


Ni utamaduni wa kila mtu kuweka kinywa chake safi kwa kupiga mswaki ili kuondokana na uchafu ndani yakinywa au maradhi yanayoweza yatokanayo na uchafu kama uozo wa meno na harufu mbaya kinywani.
Kupiga mswaki nako kuna njiazake bora ambazo ni:-

Kwanza madaktari wanasema kwa kuwa dawa ya meno hukwaruza na wakati mwingine inaweza kuwa ngumu kuliko jino, inashauriwa kutumia kiasi kidogo cha dawa ya meno.
Pili, pinda kidogo mswaki kutoka kwenye mwisho wa fizi, kisha kwa utaratibu kabisa, piga mswaki kutoka kwenye fizi kwenda chini. Hakikisha kwamba mswaki unapigwa sehemu zote za meno, ndani na nje.
Tatu, piga mswaki pole pole kwenye nncha za meno za kutafunia. Ili kusafisha sehemu ya ndani ya meno ya mbele, shikilia mswaki wima na kisha piga mswaki kutoka kwenye fizi hadi katika sehemu ya kutafunia. Mwisho, kabla ya kumaliza, hakikisha unapiga mswaki ulimi na sehemu ya juu ya kinywa.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.