Saturday, August 17

360 news

0


Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe ameachiwa na Polisi kwa dhamana yenye thamani ya Tsh milioni 50 asubuhi hii mjini Morogoro baada ya kulala mahabusu tangu jana Alhamisi Februari 22, 2018 usiku.

Taarifa hizo zimethibitishwa na Wakili wa Mbunge huyo wa Kigoma Mjini, Ndg Emmanuel Mvula ambaye ndiye aliyemdhamini Zitto Kabwe na kusema kuwa anatakiwa kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Morogoro siku ya Jumatatu Machi 12, 2018.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.