Saturday, August 24

UBALOZI WA KUWAIT NA TAASISI YA DORIS MOLLEL WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WATOTO NJITI, HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA, DODOMA

0


Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kushoto)
akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt.
Alphonce Chandika, sehemu ya vifaa tiba kwa ajili ya Watoto Njiti,
vilivyotolewa na Ubalozi wa Kuwait kwa kushirikiana na Taasisi ya Doris
Mollel, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika mwishoni mwa wiki,
mjini Dodoma. Wengine pichani ni Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel
na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel (wa pili kushoto), Kaimu
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Hospitali hiyo, Neema Tawale
(wa pili kulia) pamoja na Kaimu Mkuu wa Huduma za Uuguzi, Salome
Kasanga.

The Ambassador of Kuwait in Tanzania His
Excellency Hon. Jaseem Al Najem (L) Handing Over Equipments to support
Premature babies at Benjamin Mkapa Hospital to the Executive Director of
the Hospital, Dr. Alphonce Chandika, A support from the Embassy of
Kuwait in Collaboration with Doris Mollel Foundation end of this week in
Dodoma. second from left is Ms. Doris Mollel Founder of Doris Mollel
Foundation and Ambassador to Preterm babies in Tanzania , Neema
Tawale(second from right) together with Acting Director of Nursing at
Benjamin Mkapa Hospital Sr Salome Kasanga.

 Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel
na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel akieleza jambo kwa waandishi wa habari juu ya vifaa hivyo vilivyogharimu dola za Marekani elfu ishirini (20,000 USD) huku Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt.
Alphonce Chandika (kulia) wakimsikiliza, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika mwishoni mwa wiki,
mjini Dodoma.

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem,  Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel
na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt.
Alphonce Chandika wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Huduma za Upasuaji wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt. Januarius Hingi wakati akitoa maelezo ya namna vifaa hivyo vitakavyosaidia wakina mama wanaojifungua watoto wanaozaliwa kawaida na wale wanaozaliwa kabla ya wakati. 
Sehemu ya vifaa hivyo.

Read More

Share.

About Author

Comments are closed.