Thursday, August 22

JUMAPILI MUHIMU KUCHEKA……kuna waziri katabiri mwisho wa dunia na Yanga wote mamilionea

0


 Dah sasa hawa waliokuwa wamekunywa ‘nyagi’ miaka nenda rudi si watakufa? Na nyie mnaetaka kuanza kutafuna mali za ushirika mnaona wenzenu wanavyotapika?

 Hakuna siri hapo mkwanja umepotea mfukoni, Yaani Jumapili kama leo nina mia tatu mfukoni natafuta mia nyingine nipate nauli ya kwenda job kesho……………….serikali iachie kidogo jamani, ilipe madeni na sie tupate mishahara

 Dah faza si watakamatwa wengi halafu wapelekwe wapi? Kliniki au jela?

 Wapi huko? Njoni na mtaani kwetu kuna bar inakesha hapa full muziki , upigwe mfungo bar ifungwe

 Ohooo kasema mwisho lini watu tujitayarishe, maana manabii wengi walishawahi kutabiri hili ikawa hola. Ila Waziri namuamini lazima mwisho utakuja

 Oya we mzee usimchane mwenzio, akiumia utasema nini? Na akichanika utalipia gharama za kumshona?

Itakuwa wamecheza BIKO, halafu wameshinda wote, aise timu nyingine zina bahati ya mtendo. Big up yanga kwa kucheza TATU MZUKARead More

Share.

About Author

Comments are closed.