Saturday, August 24

AISE KUMBE WACHEZAJI WA CHELSEA HAWANA MAPAFU……kusoma magazeti kunatoa elimu nyingi sana

0


 Ukiona hivyo watalala Uarabuni, ila huku ni kujitafutia matatizo, kwenu Afrika halafu hutaki kulala kwenu

 Hakuna siri bwana si ulikuja na ndege? Masupastaa mna shida sana

 Watagawana vipi figo moja jamani? Dahhh

 Unajua magazeti yanasaidia sana kutoa elimu, mimi sikujua kuwa wachezaji wa Chelsea hawana mapafu kasoro huyu Alonso. Aise kusoma ni msaada sana ningejuaje?

Lazima nitafute video zake ili nione kama zinatisha, zisiponitisha mhariri nakuja kwako unirudishie hele niliyonunua gazetiRead More

Share.

About Author

Comments are closed.