Tuesday, March 19

BANC ABC YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE

0 Meneja wa Banc ABC Magabe Nyambuche akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha

Banc ABC katika kuwajali wateja wake wa maeneo mbalimbali
hapa nchini imeanzisha huduma maalumu ya kutumia satellite ili kuwafikia kwa
haraka zaidi

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha hivi karibuni, Meneja wa Benki hiyo Magabe Nyambuche alisema pamoja na kuboresha huduma za kibenki pia wameanzisha huduma hiyo ya satelite itakayokuwa na uwezo wa kuwafikia hata wateja wavijijini

Alitaja mikoa ambao kwa sasa wanatoa huduma hiyo ya satellite ni
Arusha,Dar es salaam,Dododma na Mwanza

Alisema kuwa katika msimu huu wa sikukuu ya Chrismas wanatoa
zawadi kwa wateja wote watakao weka pesa kwenye account(fixed account)watapata
riba papo kwa papo

Pia aliwataka wananchi kujiunga na benki hiyo kwakuwa huduma zake
ni nzuri 

Share.

About Author

Leave A Reply