Friday, July 19

MKOA WA KATAVI WAJIPANGA KUKUZA KILIMO CHA KAHAWA

0


index
Mkuu wa Mkoa wa Katavi yupo Mkoani Kigoma akiwa ameongoza na viongozi na watalaam wa Kilimo kujifunza namna watakavyoendeleza Kilimo cha Kahawa mkoani Katavi

2

Mheshimiwa Amosi Makalla ameendelea na ziara yake mkoani humo kwa lengo la kujifunza namna ya kuweza kukuza zao la kahawa ili wananchi wake waweze kunufaika na kilimo hicho.

3

Aidha Makalla ameyasema hayo leo ambapo ameanza ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Tabora hivyo anaamini kuwa kwa ushirikiano alioupata kutoka kwa viongozi na watalaamu kutaleta tija la kuimarisha kilimo cha zao la Kahawa Mkoani Katavi ili kuweza kuingiza kipata kwa Taifa

1

Hata hivyo Makalla amefurahishwa na namna Kahawa inayozalishwa Mkoani Kigoma na amesema uzoefu walioupata utasaidia Kuendeleza zao la Kahawa mkoani Katavi kuanzia utunzaji wa miche, upandaji wa miche, utunzaji wa Shamba, uvunaji, masoko na ukoboaji

Share.

About Author

Leave A Reply