Saturday, August 17

Wasicha wa kikenya wazidi kuolewa huko marakani na wasichana wenzao – Jicho La Uswazi

0


MAREKANI: Idadi ya Wasichana kutoka Kenya wanaoolewa na wasichana wenzao Wamarekani inaelezwa kuongezeka – Pamoja na kuwepo sheria kali Kenya za kuzuia ndoa za jinsia moja,  wasichana wa Kenya wamebuni mbinu ya kukwepa sheria hiyo na kwenda  kufunga ndoa za aina hiyo Texas, Marekani – Wasichana wengi  wanatumia zaidi mitandao kuanza uhusiano na wasichana nje […]

The post Wasicha wa kikenya wazidi kuolewa huko marakani na wasichana wenzao appeared first on Jicho La Uswazi.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.