Saturday, August 24

Feza kessy ni kweli alimtongoza cyrill??? – Jicho La Uswazi

0


Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye ametokea kwenye tasnia ya urembo, Feza Kessy, amekiri kuwahi kumtongoza mwanaume ambaye alitokea kumpenda, kitu ambacho ni kigumu kwa mabinti wengi.   Feza amesema alipoachana na mpenzi wake aliyepita alikaa na upweke kwa muda mrefu, lakini alikuwa na hisia za mapenzi kwa msanii Cyril kwa muda mrefu tangu […]

The post Feza kessy ni kweli alimtongoza cyrill??? appeared first on Jicho La Uswazi.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.