Thursday, August 22

WIZARA YA MALIASILI YAZIJENGEA UELEWA KAMATI MBILI ZA BUNGE KUHUSU MRADI WA SECO

0Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akihutubia wajumbe
wa Kamati za Kudumu za Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii na Viwanda, Biashara na
Mazingira wakati akifungua warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Wizara yake
mjini Dodoma kwa ajili ya kuwajengea uelewa kuhusu mradi wa SECO ambao unalenga
kuboresha maisha ya wananchi kwa kupunguza umasikini kupitia sekta ya Utalii
nchini.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.