Tuesday, March 19

Wapinganaji wa Yemen wakutana Sweden

0Kutoka Sweden, waakilishi wa serikali wa Yemen na wale wa waasi wa Huthi, ambao wamekuwa katika vita vibaya nchini mwao, wamelaumiana vikali katika kikao cha kwanza cha mazungumzo ya kutafuta Amani ambayo Marekani imetaja kuwa magumu lakini muhimu sana.

Share.

About Author

Leave A Reply