Saturday, August 24

Wanachama wa WHO wakubaliana kuboresha huduma za afya

0Kauli mbiu ya mwaka 2019 inaujumbe unaosema “Huduma ya afya kwa wote, hakuna atakaye achwa nyuma.”

Mkutano huo wa siku tisa umetoa wito wa kupatikana mpango wa kimataifa kuboresha huduma za msingi katika kila nchi.

Mkurugenzi Mkuu wa – WHO – Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema wote wanawajibu wa kuwekeza kwa kiwango cha hali ya juu katika huduma za msingi za afya, kutekeleza muongozo wa – WHO – kwa wafanyakazi wa afya, na kuhakikisha kuna mazingira bora kwa upatikanaji wa huduma za afya kwa wote.

Imetayarishwa na mwandishi wetu, Washington, DC.

Share.

About Author

Leave A Reply