Tuesday, August 20

Trump kusikiliza kero za wanafunzi, wazazi, waalimu Marekani

0
Baada ya kupendekeza katazo la aina zote za vifaa ambavyo vinaweza kutengeneza silaha ambazo ni hatari sana na kutoa wito kuwepo uchunguzi wa maisha ya watu wote wanaonunua silaha, Rais wa Marekani Donald Trump anafanya kikao “kusikiliza maoni” juu ya silaha hizo Jumatano.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.