Sunday, August 18

PROFESA JOHN SHAO AZUNGUMZIA UZOEFU WAKE KATIKA MASUALA YA TIBA: NI KWENYE SEMINA YA WCF KWA MADAKTARI

0R

  NA
K-VIS BLOG/Khalfan Said, Moshi

DAKTARI
bingwa wa uchunghuzi wa vijidudu na madawa,(Medical Microbiology and
Immunology), Profesa John Shao, ameelezea uzoefu wake  juu ya mahangaiko waliyokumbana nayo
wafanyaakzi walioumia wakati wakitekeleza wajibu wao wa kazi inapofikia muda wa
kulipwa fidia.

Akitoa
uzoefu huo mbele ya madaktari wanaoshiriki mafunzo ya siku tano (5) yaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.