Sunday, August 25

ONGEZEKO LA WATU, WATUMIAJI WA SIMU KUKUZA BIASHARA ZA MTANDAONI AFRIKA

0Na Jumia Tanzania

Kuendelea kukua kwa ongezeko la idadi ya watu na watumiaji wa simu za mkononi barani Afrika kuna mchango kwenye ukuaji wa biashara kwa njia ya mtandao. Hilo linaenda sambamba na ueneaji wa huduma za mtandao wa intaneti ambao umebadili namna waafrika wanavyotumia simu zao za mkononi hivi sasa. 

Hivi karibuni Jumia, mtandao unaojihusisha na uuzaji na manunuzi yaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.