Sunday, August 18

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AAGIZA WAKURUGENZI KUPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI MWANZA, NI KWA KUTOJISAJILI NA WCF

0NA K-VIS BLOG/Khalfan Said,
Mwanza

NAIBU Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Antony
Mavunde, (pichani juu), ameagiza waajiri ambao hawajajisajili na Mfuko
wa Fidia kwa
Wafanyakazi kufanya hivyo, vinginevyo wafikishwe mahakamani mara
moja.

 Mhe. Mavunde
ametoa agizo hilo Jumatatu Februari 26, 2018 baada ya kufanya ziara yaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.