Monday, August 19

MZUKA WA SOKA NA COKA YAWAFIKIA KANDA YA KASKAZINI

0Baadhi ya shehena ya zawadi za pikipiki watakazojishindia wateja.

Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Bonite Bottlers, Chris Loiruk akiongea na wafanyakazi wakati wa uzinduzi wa promosheni.

Wafanyakazi wa Bonite wakisherekea kuzinduliwa kwa promosheni.

Baadhi ya wafanyakazi wa Bonite wakiandamana katika mitaa ya mji wa Moshi wakati wa uzinduziRead More

Share.

About Author

Comments are closed.