Saturday, August 17

MWIJAGE MGENI RASMI KONGAMANO LA VIWANDA KESHO MWALIMU NYERERE

0Na Humphrey
Shao, Globu Ya jamii

Waziri wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage anataraji kufungua kongamano
kuhusu Maendeleo ya Viwanda Tanzania  
litakalo fanyika katika chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  February 23 Mwaka huu.

Akizungumza na
Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo 
Afisa Habari wa chuo Hicho 

Evelyn Mpasha amesema kuwa Kongamano hiloRead More

Share.

About Author

Comments are closed.